Copyright © Darasa Online – All Rights Reserved
Karibu Katika hii Kozi
Mwongozo huu umeandaliwa kwa ajili ya kutoa elimu ya dawa za kulevya katika makundi mbalimbali ya kijamii ili kuweza kupata uelewa sahihi na kujikita katika juhudi za kupiga vita matumizi na biashara ya dawa za kulevya.