Kifaa au mchanganyiko wa vifaa, ikijumuisha mtandao, vifaa vya kuingizia na vya kutolea na vinavyoweza kutumika pamoja na majalada ya nje yenye programu za kompyuta, maelekezo ya kielektroniki, data za kuingizia na kutolea zinazotunza data za hesabu za miongo zilizo na mantiki, utunzaji wa data za hesabu na udhibiti wa utolewaji wa mawasiliano na majukumu mengine.
« Back to Glossary IndexMfumo wa kompyuta
« Back to Glossary Index